isee, sijui imekuwa vp?!!Ni wewe tu
Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/=
Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za michezo, premium, focus, life na arena zote hamna kitu. jana ilikuwa chelsea na hull city saa 2.30......nimekaa we kusubiri wapi badala yake nakuta tu matangazo ya bundesliga.
Hivi ni mimi tu au na wenzangu ni hivyohivyo?
anhaa, shukrani. kiukweli sioni mechi yoyote ktk channel zote nne za michezo.....sports premium, sports life, sports arena na sports focusMbona mechi zinarushwa labda kuna tatizo jingine tu wasiliana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
zipo startimes hizo kiongozi?!!!!Azam xtra
Superspot 10
Starworld footbal
Signal 6
Zote zimeonesha ni wewe na uzembe wako nje ya ratiba ya mechi
Umeacha channel moja hapo ya world football.anhaa, shukrani. kiukweli sioni mechi yoyote ktk channel zote nne za michezo.....sports premium, sports life, sports arena na sports focus