K Kibulu Member Joined Aug 17, 2012 Posts 58 Reaction score 15 Aug 30, 2012 #1 Wale ambao hawajaomba mkopo kama mimi mpo mi kwenye akauti yangu nshaekewa mil 2 ya kuanzia sio lazima wote tutegemee mkopo watanzania fanyeni kazi kwa bidii kutegemea mkopo kunalemaza!
Wale ambao hawajaomba mkopo kama mimi mpo mi kwenye akauti yangu nshaekewa mil 2 ya kuanzia sio lazima wote tutegemee mkopo watanzania fanyeni kazi kwa bidii kutegemea mkopo kunalemaza!
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Aug 30, 2012 #2 mhh mkuu heri yako....OMBA MUNGU IWE HIVYO DAIMA!!!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Aug 30, 2012 #3 Me cjaapply lakn nina uhakika wa kupata mkopo,tena toka helsb.chezea bongo weye..
Geezzle JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 849 Reaction score 267 Aug 31, 2012 #4 Unatia hasira kinoma!aaaaargh!hujaomba na utapata mkopo!nadhan huna kgezo ata k1!achen ufsad na huyo ndgu yako wa bod
Unatia hasira kinoma!aaaaargh!hujaomba na utapata mkopo!nadhan huna kgezo ata k1!achen ufsad na huyo ndgu yako wa bod
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Aug 31, 2012 #5 Geezzle said: Unatia hasira kinoma!aaaaargh!hujaomba na utapata mkopo!nadhan huna kgezo ata k1!achen ufsad na huyo ndgu yako wa bod Click to expand... vigezo ninavyo vyote,ila ckuapply tu makusudi,lakn ndo ivo tena nshalambwa 90% zangu!
Geezzle said: Unatia hasira kinoma!aaaaargh!hujaomba na utapata mkopo!nadhan huna kgezo ata k1!achen ufsad na huyo ndgu yako wa bod Click to expand... vigezo ninavyo vyote,ila ckuapply tu makusudi,lakn ndo ivo tena nshalambwa 90% zangu!