NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Feb 27, 2014 #1 Kesho ndo siku ya mwisho kulipia ada ya mitihani ya kidato cha iv hivyo kama hujalipa ilipe hiyo kesho ili kuepuka faini
Kesho ndo siku ya mwisho kulipia ada ya mitihani ya kidato cha iv hivyo kama hujalipa ilipe hiyo kesho ili kuepuka faini
Sosthenes Maendeleo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,724 Reaction score 1,693 Feb 27, 2014 #2 Pole,, lipeni vya kaisali
M mbontafo Member Joined Feb 24, 2014 Posts 87 Reaction score 40 Feb 28, 2014 #3 ahaaa ahsante kwa taarifa njema.vp ukifanikiwa kulipia leo waweza peleka ile form necta siku yyte baada yakulipia?
ahaaa ahsante kwa taarifa njema.vp ukifanikiwa kulipia leo waweza peleka ile form necta siku yyte baada yakulipia?