Wenzangu na mimi kesho ndo siku ya mwisho kulipa ada ya mtihani kidato cha nne.

NGANU

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
1,919
Reaction score
393
Kesho ndo siku ya mwisho kulipia ada ya mitihani ya kidato cha iv hivyo kama hujalipa ilipe hiyo kesho ili kuepuka faini
 
ahaaa ahsante kwa taarifa njema.vp ukifanikiwa kulipia leo waweza peleka ile form necta siku yyte baada yakulipia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…