wenzangu wa mzumbe university joining instruction form tunapatia wapi?

wenzangu wa mzumbe university joining instruction form tunapatia wapi?

Apeche

New Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Najaribu kuchekikwenye web Yao but siipati, tusaidiane kwa aliye pata
 
Kaka, afadhali yako, sana tu!
Wenzio wanawaza na kujadili Mikopo ya Bodi, watapata lini, wapi saa ngapi, kiasi gani, watakunywa bia ngapi, wataingia "club" zipi na nani, siku gani! Mambo ya "boom"!
Anyway, endelea kupambana, ninaamini Joining Instructions zitamwagwa hadharani hivi karibuni, ikizingatiwa kuwa Vyuo ndio kwanza vinatangaza majina ya Wanavyuo watarajiwa!
 
aise mi naenda chuo ku learn sio kufanya starehe,wengi wanenda fata gamba tu wakimalza wanapata digree ya kwenye karatasi siyo elimu ambayo wameelewa ikawasaidie,mkuu MahinaVeterani umenena
 
Vipi kuhusu staggered semister?? Maana sielewi kuhusu hiki!!
 
iko kwa first yr tu likizo moja ndefu...ili wengine waweze kukaa coz hostel zao ni finyu..from feb tu july....
 
Back
Top Bottom