Kaka, afadhali yako, sana tu!
Wenzio wanawaza na kujadili Mikopo ya Bodi, watapata lini, wapi saa ngapi, kiasi gani, watakunywa bia ngapi, wataingia "club" zipi na nani, siku gani! Mambo ya "boom"!
Anyway, endelea kupambana, ninaamini Joining Instructions zitamwagwa hadharani hivi karibuni, ikizingatiwa kuwa Vyuo ndio kwanza vinatangaza majina ya Wanavyuo watarajiwa!