musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Nimeikuta habari hii mtandaoni
Kwenye Facebook
Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk
Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na nyungo zetu za usiku hazitutoshi?
Ukweli ni kuwa kizuri chajiuza...Acha tuendelee kutopea kwenye mambo marahisi kama Simba na Yanga...Diamond na Zuchu...hekaya za ushirikina kama majini na wachawi...na miujiza ya manabii na mitume...tulipo tuko pazuri na salama tuendelee kuvuta shuka