Wenzetu Utumishi kuna jipya mwezi huu?

Wenzetu Utumishi kuna jipya mwezi huu?

Hivi kale ka July increment kalipata janga gani
 
Mpaka sasa mafungu hayajaja maofisini taasisi za wizara ya maji na ujenzi hazijaletewa fedha hivyo hakuna activities zozote ni majanga kidogo afya na ofisi ya takwimu wanakimbiza kazi...mishahara yenyewe midogo hii tushaikopea inakuja unabaki na 20000 tu duh Mungu atuokoe
Au ndio tunasubiri elnino
 
Au ndio tunasubiri elnino
Duh aisee inasikitisha halafu unapata habari serikali yailipa billion 75 kampuni ya nje kwa kuvunja mkataba..wakati mfuko unagawa chini ya billion kwa mwaka wa fedha kwenye taasisi yenu makusanyo ya ndani yamedodora
 
Mkuu we unauwazaga mshahara?me huwa nawaza per diem ndo kidogo ziniokoe nazo majanga tuko robo ya pili ya mwaka wa fedha na hakuna hela duh kwenye taasisi
Usidanganywe serikali haijawahi kukosa pesa hata siku moja na haitokuja kutokea haswa kwa nchi ombaomba hizi.
 
Mkuu unabisha nini ulizia regional office zote kwa ma RM ila pia inategemea na mfuko husika mimi nasemea kwa miradi ya p4r chini ya world bank haswa bado hawajaingiziwa pesa labda kama kila mkoa unaingiziwa kwa awamu yake
 
Viongozi wa mikao mpaka halmashauri wengi bi waongo na wezi, kazi kuzuia posho za watu kwa kisingizio cha kucheleweshwa pesa ila utawaona wapo kweny ziara zao .

Kuna michezo Michafu inafanyika hata kipind cha chuo lile bum la kusain walikuwa wanajifanya limechelewa ila ni wahuni.

Kiufupi usiamini moja kwa moja kama bajeti ilishapita na mgawanyo tayar.
 
Ila unalosema kweli inawezekana kabisa na ndio maana wanakuwa wasiri sana na wahasibu wao kusingizia mfumo wakati wao kutwa semina mara iringa mara dar mara dom wanatoa wapi pesa za safari?
 
Kwa sasa wanaenjoy ni NBS sijui kwanini labda pengine data zao zitatumika kwenye uchaguzi

Kwamba tumefanikiwa kuongeza maseremala kutoka laki 4 mpaka laki 5..makofi kwa mama

Kuna dogo ana miaka mitatu kazini wa nbs tayari ana nyumba mbili lenta na gari 3.ukweli na sii uwongo
Duuuh kumbe
 
Ila unalosema kweli inawezekana kabisa na ndio maana wanakuwa wasiri sana na wahasibu wao kusingizia mfumo wakati wao kutwa semina mara iringa mara dar mara dom wanatoa wapi pesa za safari?
Alipoingia Magufuli madarakani kweny taasisi nyingi walikuja na skendo kwamba pesa zimebanwa ila ukweli wajanja wachache walikuwa wanatumia mwanya ili kupiga pesa.

Kila siku safari haziishi ili mradi tu.

Serikali ya Tz kweny mishahara ya posho za wafanyakazi hawana masihara kabisa ndio maana matumizi ni makubwa kuliko pesa za maendeleo..
 
Mpaka sasa mafungu hayajaja maofisini taasisi za wizara ya maji na ujenzi hazijaletewa fedha hivyo hakuna activities zozote ni majanga kidogo afya na ofisi ya takwimu wanakimbiza kazi...mishahara yenyewe midogo hii tushaikopea inakuja unabaki na 20000 tu duh Mungu atuokoe
Mzee na ilivyo mzee wa ulabu hiyo si unakata kvant kubwa tu ,na msosi imeisha,utang'oa vipi milupo
 
Back
Top Bottom