Wenzetu Utumishi kuna jipya mwezi huu?

Wazee wa tamisemi mnaishi kama kuku wa kufugwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh aisee inasikitisha halafu unapata habari serikali yailipa billion 75 kampuni ya nje kwa kuvunja mkataba..wakati mfuko unagawa chini ya billion kwa mwaka wa fedha kwenye taasisi yenu makusanyo ya ndani yamedodora
Hakika inatia uchungu 75Bilions.watumishi bilabila🤣🤣🤣🤣🤣💺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…