Wenzetu Wachina wanaogombania wateja na wafanyabiashara

Wenzetu Wachina wanaogombania wateja na wafanyabiashara

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna mada niliongolea kuhusu wachina wanaweza kukutajirisha naona ikapokelewa kufumbwa na watu wasio taka mjue mwanga unachomokea wapi.

Watu wengi hususani hapa bongo si rahisi mtu kukupa code kuhusu biashara za bara la asia zilivyo ili kuendelea kuwa mteja wake usisanuke.

Wachina wamejikuta wengi si wateja tena ni wafanyabiashara kila mtu kutaka kuuza bidhaa zake barani africa.

Wachina wanapompata mteja ambaye ufanya manunuzi kwake ujaribu kumpa promo sana kama kukupa mzigo mwengine malipo baadae ili asitoke kwenye biashara au ukiwa mnunuzi mzuri kwao upunguza bei ili usitoke.

Ukipata bahati ya kusafiri mara mbili ukarudi tena mchina yupo tayari kukupokea na kuwa mwenyeji wake.

Jambo la kugombania ni kwa sababu kila mtu ni mtengenezaji au muuzaji.
 
Ubaya wa mchina atakuja kuuza bidhaa hiyo hiyo kwa bei ndogo au atamuuzia uliyekuwa wamuuzia
 
Ubaya wa mchina atakuja kuuza bidhaa hiyo hiyo kwa bei ndogo au atamuuzia uliyekuwa wamuuzia
Unawazungumzia wachina kama sisi.ukikutana na mchina ambaye wa kimataifa mda wa kuja kukufungulia ilo hakuna
 
Back
Top Bottom