Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Dictatorship 101:Loading.....Idi Amin Dada Part II.
Unamaanisha kwamba watanzania watalia? [emoji15] Uwe na huruma kwa wenzako basi, hata kama walijitakia wenyewe.HAHAHA kuna watu watalia miaka zingine nane za utawala wa JPM na mkileta ujinga zaidi Makonda ndie Rais 2025..
Cry me a river
Haha! [emoji1] Bahati mbaya ni kwamba Mollis huwa haelewi misamiati kama kusalenda. [emoji23]Ha ha ha haaaa.. Mazee hivi viatu vinatubana mno, kwakweli "Morris I surrender", hatuna amani kabisa.
Mollis Nimechoookhhaaaa.Haha! [emoji1] Bahati mbaya ni kwamba Mollis huwa haelewi misamiati kama kusalenda. [emoji23]