malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ma hater mkuu...mbona kina sisi hatukui kibiashara tunakosea wap ..wenzetu wamajuzi juzi tu wanaingiza mamilioni kwa biashara zachina,turkey ila kina sisi biashara zahuko huko ila hatukui fasterUnataka tuonekane ma hater sio???
Kuna uwezekano wengine ni mapunda au wanafanya dili haramu.Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui
Sio chai??Kuna uwezekano wengine ni mapunda au wanafanya dili haramu.
Jokate amefanyaje mpaka amekuwa Mkuu wa wilaya. Amina Chifupa na Vicky Kamata walipata je ubunge. Walifanyaje wakafanikiwa ?Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui