Wenzetu wanafanyaje kina niffer,biashara za ramsek Hadi biashara zinakua kwa Kasi mno

Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui
Jokate amefanyaje mpaka amekuwa Mkuu wa wilaya. Amina Chifupa na Vicky Kamata walipata je ubunge. Walifanyaje wakafanikiwa ?
 
Malaika aliyekucholea raman ya maisha yako ndo alibugi raman ndefu mnoooooooo kufika kwenye hizo level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…