Ajira nyeti makwetu kigezo ni JKT na hasa SUMA JKT.
Wenzetu wana lenga graduates:
DCI targets graduate officers for new crime prevention unit
Jamii mbili hizi zinafanana kijiografia. Wote ni katika jumuiya ya Afrika mashariki.
Bila aibu makwetu tuko busy tukikenua na kuwanyanyapaa graduates wetu kuwa ni vilaza. Kwani ni katika nyanja ipi basi tulipo na nafuu hata?
Tulingane vipi na jamii zenye kutambua thamani ya elimu?
Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena
Nchi si tumeifikisha huku na kisha kuuvaa unyani kuwanyanyapaa wengine?