The Boss, lazima wewe ni mzee wa kanisa kwa Kakobe,lol! Blow job ni dhambi? Kwani Bible imetoa manual ya nanihii?
Isitoshe, hata katika uovu wako kumuitia Mungu ni muhimu. Kumbuka wenye afya hawahitaji dr. Unatanguliza na toba kabisaa,lol!
boss mwenzi wako ni yule uliyefunga naye ndoa. sasa nakuuliza huwa mnasali wakati wa kutaka kufanya tendo la ndoa au la?walio funga ndoa za halai sio?
na wanaoishi tu kienyeji?
na wanao date je?
woote wamshirikishe mungu kwenye kuvunja amri ya sita sio?
halafu unaomba mungu halafu unamwambia mwenzio 'tuanze na blow job'?
au inakuwaje? maana ukifuata sana dini hata blow job ni dhambi...au hata 'dirty talks' ni dhambi
King'asti miye mbavu sina. Binafsi sijsema kuwa hata katika uovu umshrikishe Mungu ingawa Mungu ni wa ajabu sana ukimshirikisha atakuwepo tu. ila je huwaga unasali na kuombea mali za mwenzio vizuri na kwa uaminifu?The Boss, lazima wewe ni mzee wa kanisa kwa Kakobe,lol! Blow job ni dhambi? Kwani Bible imetoa manual ya nanihii?
Isitoshe, hata katika uovu wako kumuitia Mungu ni muhimu. Kumbuka wenye afya hawahitaji dr. Unatanguliza na toba kabisaa,lol!
Preta heri umejisemea ukweli ila unapaswa kuombea kwani kunafaida nyingi kutokana na kufanya hivyo.
@gfsonwin.... heri umejisemea ukweli ila unapaswa kuombea kwani kunafaida nyingi kutokana na kufanya hivyo.
boss hivyo ndivyo unavyoanzaga mchezo? .........lol! kumbe wahitaj shule ya jins ya kuanza mchezo eeh!
Utamu ukishanoga utakumbuka hata kusali kweli...sidhani hata mapadri/masheikh waliomo kwenye ndoa kama huwa wanasali ili kubariki shughuli hii muhimu
Hahahahahah lol! ndio hapo mdada anaweza kudai....Akhu! miye nimeshasali na Mungu wangu kanijia kwenye sala zangu kaniambia nisifanye...subiri mpaka akiniruhusu ndio nitakupa... gfsonwin kwa wale waliooana katika ndoa za kidini si tayari wamesharuhusiwa/kubarikiwa kufanya tendo hilo kila wanapojisikia? au inabidi kila wanapojisikia kwanza wapate baraka za Muumba wetu kwa kusali?