Wenzi mwalifamu hili?!

na hii sala ni wakati gani?
kabla hujamgusa mwenzio?
au mnavua nguo ndo mnaanza sala?
au mnasali sebuleni?
mbona inafanya zoezi zima kuwa so predictable and boring?

Ngoja tumsubiri gfsonwin atupe more details hii sala inafanyika wakati gani hasa....je vitabu vya dini navyo vinatutaka tuombe kabla ya shughuli hii?
 
Last edited by a moderator:
na hii sala ni wakati gani?
kabla hujamgusa mwenzio?
Reply With Quote

au mnavua nguo ndo mnaanza sala?
au mnasali sebuleni?
mbona inafanya zoezi zima kuwa so predictable and boring?
boss sala hii achilia ile unayosali na wanao sebuleni, hii mnasali mkiwa in bed tayari kuanza kupeana raha, kama vile ambavyo mezani mnasali kwanza ndipo manakula kisha mnaaza kurukiana. mkimaliza mmetosheka mnasali mnalala. kabla ya kuamka mnarudiana tena cha mwisho ili kumfukuza shetani.
 
Last edited by a moderator:
boss hivyo ndivyo unavyoanzaga mchezo? .........lol! kumbe wahitaj shule ya jins ya kuanza mchezo eeh!


Mwalimu gfsonwin hebu mwaga shule...ndio raha ya kuwa na Walimu wa mambo mbali mbali hapa jamvini πŸ™‚...maana wengi wanafaidika
 
Last edited by a moderator:
Wale mnaomalizia sebuleni, jikoni ama bafuni mtaulizia sala ni at which stage....
Hehehe, The Boss, inaelekea unamaanisha sala ni kwa missionary position tu eeh?

jamani kwa wanandoa tunategeea tendo hili lifanyike katika secrecy and respect ya hali ya juu so hata kama mtakuwa mko kwenye kochi mwatakiwa kusalia ndipo mfanye. ilasharti ni kwamba mkimaliza mnasali tena na kabla ya kuondoka mnarudiana ilia msijaribwe na shetani.
 

LOL! mnarukiana siyo hahahahah lol! nilitumia neno kama hili katika post yangu ya mwisho nikajua Mwalimu gfsonwin atanizodoa basi nikabadilisha neno hilo...kumbe I was 100% right...
 
Last edited by a moderator:
Utamu ukishanoga utakumbuka hata kusali kweli...sidhani hata mapadri/masheikh waliomo kwenye ndoa kama huwa wanasali ili kubariki shughuli hii muhimu

inawezekana kweli wakawa hawasali lakin wapo wanaosali na ukweli ni kwamba Mungu ataiangalia sana hiyo ndoa. Sisemi uongo ndoa za wale wanaosali kwaajili ya kuombea tendo la ndoa ibilisi huwa hawasogelei wapo wanaodiriki kutoa hata sadaka mbele za Mungu kwaajili ya tendo la ndoa tu. ila wengine tunajiendea kama maboga tu.
 
Wale mnaomalizia sebuleni, jikoni ama bafuni mtaulizia sala ni at which stage....
Hehehe, The Boss, inaelekea unamaanisha sala ni kwa missionary position tu eeh?

sex haina muda maalum wala mipango miingi kabla
mnaweza sex asubuhi bafuni
au jikoni
au kwenye gari na kadhalika
sasa sala inakuja vipi?
nikaribishe kanisani kwenu unifundishe basi lol
 
Kwa kuwa mimi nipo single na kwa wakati huu nipo peke yangu ndani nachukua fursa hii kuwaombea woote wanaotaka kuanza tendo la ndoa.....Kiroho safi bila wivu
 

yaani King'asti sala hii ni muhimu sana ila watu wanaona kama nimedata imeandikwa katika biblia na hata quran ila ni ssi wanadamu tu huwa tunauharibu hili tendo.
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye last line, ngoja nikukaribishe nyumbani ndo karibu, nasali Tuangoma, kuleee kibada,lol
sex haina muda maalum wala mipango miingi kabla
mnaweza sex asubuhi bafuni
au jikoni
au kwenye gari na kadhalika
sasa sala inakuja vipi?
nikaribishe kanisani kwenu unifundishe basi lol
 

Haya bana gfsonwin lakini kwa mwendo ule wa kurukiana πŸ™‚πŸ™‚ popote pale iwe ni chumbani au kwingineko basi utekelezaji wa hili ni mgumu sana. Wanaweza kuwepo wanaosali kabla ya kurukiana πŸ™‚πŸ™‚ lakini percentage yao itakuwa ni ndogo sana.
 
wewe weka shule ya 'sala na maombi hapa'
shule ya mchezo tuachie tu
wengine hawapandi mchezoni bila wine au beer kwanza
sasa sijui utawaambia waombe kitu gani?
boss najua kweli wengine ni mpaka wanywe ndio wanaweza kucheza ila nikuulize hivi wewe ukisha kunywa wakati wa kula chakula huwa unasalli? au utasema nimekunywa hivyo sioni sababu ya kuombea chakula?
 
Last edited by a moderator:
kuomba yes, ila amani inakua tafu kwenye mikunjo ya aina fulani na pale ambapo mikono inasafiri kuliko JK, kimoyomoyo unajihisi dah ......... sir godi anapigia chabo huu mkiono wa kushoto, au dah, hivi mungu alibariki chumvi kwa mtindo huu kwa swab kweli??!!!
 
BAK hebu tuondoe maneno ya kurukiana tueke maneno mazuri labda ili kufikisha ujumbe kusudiwa. nikuulize swali?
wewe na mkeo mnapotaka kula kwani ni mara zote mwalia chakula mezani? je popote pale unapoletewa menu huwa unaiombea au waila tu?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
BAK hebu tuondoe maneno ya kurukiana tueke maneno mazuri labda ili kufikisha ujumbe kusudiwa. nikuulize swali?
wewe na mkeo mnapotaka kula kwani ni mara zote mwalia chakula mezani? je popote pale unapoletewa menu huwa unaiombea au waila tu?

LOL! I plead the fifth
 

asikwambie mtu TIMING kwanza game ya kupiga ukiwa umeiombea na umetakasa miili yenu kwa nia ya kupeana raha na ukaviteka viungo kwa ajili hiyo lol huwa ni tamu usipime yaani hata kama hulii siku hiyo itakuliza. manake moyo hufunguka kupita kiasi na hupelekea kumuona mwenzi wako kama lulu mbele zako lol.anza uone you will tell ma dearest
 
Last edited by a moderator:
Heee!Kumbe hii imoeee,hebu niambie,unasalije vile?Ee Muumba nijalie nimchabange wife bao za kutosha. . . . .Nimejaribu tu haya mambo mi siyajui hebu nijuzeni!
 
Heee!Kumbe hii imoeee,hebu niambie,unasalije vile?Ee Muumba nijalie nimchabange wife bao za kutosha. . . . .Nimejaribu tu haya mambo mi siyajui hebu nijuzeni!

Hahahahaha lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…