Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Yaani unakuta mtu ni masikini sana. Anaogopa sana ushirikina ila ni mzinzi, anakufa anaenda motoni.
Mtu mshirikina mzuri tu, anapesa ndefu tu mzinzi mzuri tu, anakufa anaenda motoni.
Fanya hivi, tafuta pesa Kwa Kila njia haramu na halali, hakuna aliewai kufa akarudi kutoa shuhuda, kula Raha duniani.
Matusi ruhusa