Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Naona uchawi umekukolea Umeanza kuropoka sasa.... jitahidi tu usiropoke jina la aliyekupeaYaani unakuta mtu ni masikini sana. Anaogopa sana ushirikina ila ni mzinzi, anakufa anaenda motoni.
Mtu mshirikina mzuri tu, anapesa ndefu tu mzinzi mzuri tu, anakufa anaenda motoni.
Fanya hivi, tafuta pesa Kwa Kila njia haramu na halali, hakuna aliewai kufa akarudi kutoa shuhuda, kula Raha duniani.
Matusi ruhusa
Ustaarabu ni kitu ambacho tulijitungia wenyewe tu kama wanadamu ili dunia iwe sehemu salama.Yaani unakuta mtu ni masikini sana. Anaogopa sana ushirikina ila ni mzinzi, anakufa anaenda motoni.
Mtu mshirikina mzuri tu, anapesa ndefu tu mzinzi mzuri tu, anakufa anaenda motoni.
Fanya hivi, tafuta pesa Kwa Kila njia haramu na halali, hakuna aliewai kufa akarudi kutoa shuhuda, kula Raha duniani.
Matusi ruhusa
“Kupanga ni kuchagua”Yaani unakuta mtu ni masikini sana. Anaogopa sana ushirikina ila ni mzinzi, anakufa anaenda motoni.