Watuma salaam maarufu katika stations mbalimbali za redio wale wa zamani na wa sasa hivi wepi ni bora.
Wazamani ni kama vile mlingoti wa chuma mama pendo mama africa,kutoka kasulu dr jangala,mzee lawena kutoka chuna ,ustaz sabasaba kutoka kigoma,mama manka,mama abuu,mzee wa leo kijana wa zamani nk na wa siku hizi mfano,chinga boy chinga boyiiii,joshua turuka,nk
Wepi ni wakali wa salaam?