Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Vin Diesel naona umeamua kurudia ulikosema hutarudi kwa sweetlady
Na hapi unatuambia hauko kwenye mawindo aise
Mungi may be Erickb52 ni sharobaro aise mi bado nina mpango wa kukureport kwa Paw au Invisible
Lily Flower mpaka mimi hunisikilizi eeehh
Huko sirudi hata siku moja....nadhan kuna mtu ali hack akaunti yangu....
Lily Flower usimsikilize huyu mtu...
Eti eeeeh well noted Vin Diesel.
Utaenda kwenye party ya Dar Wing?
Nitaangalia upepo unakwendaje si unajua tena Januari mambo mengi.
eti nini?
Hakuna kitu mpenzi nilikuwa namuambia Vin Diesel voda wameanzisha slogan nyingie "Kazi ni Kwako"
Kazi ni kwako
Hakuna kitu mpenzi nilikuwa namuambia Vin Diesel voda wameanzisha slogan nyingie "Kazi ni Kwako"
Lily Flower hilo ndilo linaloitwa fumanizi. Mungi kazi kwako!
Mimi na Lily Flower tumefunga ndoa. kwahiyo maombi ya Vin Diesel hayatakuwa na baraka za Mungu
Maombi yangu ni ndoa ya Lily Flower na wewe Mungi idumu huku 'urafiki' wangu na Lily Flower ukizidi imarika pia...