Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Mungi kumbe ulikuwa likizo! na mimi nataka nilianzishe sasa niripoti kunisingizia nilinatiana kule TMK.....
happy new year

Heri ya mwaka mpya FP teja niko humu nimetulia...Vipi dunia yako?
 
Last edited by a moderator:
Mungi kumbe ulikuwa likizo! na mimi nataka nilianzishe sasa niripoti kunisingizia nilinatiana kule TMK.....
happy new year

Hahaaaaaaa sasa si umeona ya TMK ilikuwa kweli ndo maana sijapelekwa selo
 
Last edited by a moderator:
bado unataka kuendeleza uzushi?
utalala selo tena ujue

Teh teh teh................. ukinipeleka selo siyo shida tena manake nimeshaanza kufahamiana na viongozi wa selo
 
Dah . . . . hahahah! Erickb52 haya bana.

Mie mzima, sijui wewe.
Teh niko poa kabisaa na nilipokuona nimejawa na furaha mara mbili.
Hope zile stress za mwaka mpya umeshazisahau na umepona kwa sasa eeh
Karibu kwenye ulimwengu wa furaha achana na stress za walimwengu.
Wasiliana na manoah kagundua dawa!
 
Last edited by a moderator:
Teh niko poa kabisaa na nilipokuona nimejawa na furaha mara mbili.
Hope zile stress za mwaka mpya umeshazisahau na umepona kwa sasa eeh
Karibu kwenye ulimwengu wa furaha achana na stress za walimwengu.
Wasiliana na manoah kagundua dawa!

Yaani katika siku ulizowahi kunifurahisha basi leo umeshika bendera.
Kati ya maneno yote unayoongeaga leo umetema pwenti mtupu.
Hivi jana ulilala wapi aisee??
Tafadhali ukiagiza fanta orange . . . .niite nikunyweshe!

BTW, dawa ya manoah haina haja, hilo pwenti lako ni mzizi tosha! lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…