Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
mmmmmh nahisi harufu ya selo hapa.............. Lily Flower hayo siyo maneno yangu.......... jamani nitonye umepotea wapi bana? au ushapigwa kibuti tujue moja kha!
Michin yu chana, afu siku hizi unanitenga sana, ntajitoa jf kwahasira mimi! Hata ku dipu tu jamani?
Unachekesha lol. Mungi anitupe mimi? Hehehehe! Mchukue Mwita Maranya nasikia hajafanyiwa bookingUnawekewa maneno mdomoni hivi hivi babe chukua sweetlady tupa kule............. ewaaaaa
Sawa mkuu lakini angalia usije ukampatia majukumu makubwa kuliko uwezo wake, bado tunamhitaji sana.
Mmempeleka wapi best yangu Loner?...... Kumbe kuokoka kuzuri hivyo eenh? wapi Mzee wa Rula? Crashwise naye kimya au mmemtenga katika safari hii?
Ngoja nimtume Lily Flower aje na kitu chenye ncha kali manake tuna kazi nayo hahaaaa
Mwita Maranya unaitwa na Lily Flower
Michin yu chana, afu siku hizi unanitenga sana, ntajitoa jf kwahasira mimi! Hata ku dipu tu jamani?
Mkuu nasoma speede ya upepo kwanza,
Booking nitafanya baadae kidogo, nataka kufanya booking kwa mtu ambae tayari amebukiwa ili nijipime uwezo wa mistari yangu.
Nimeiona dia, ni ndefu mpaka inatisha lol. Afu sina hakika kama Erickb52 amezingatia itifaki, mie acha nikomae na Mungi wangu manake kwenye list ya Erickb52 mpaka nifikiwe na zamu safari ya tanga ishamalizika!Hujaona listi ya Erickb52 wewe, ni ndefu balaa alafu mie wala simo kwenye hiyo listi sasa kisa cha kujipendekeza ni nini akuuu.
Michin yu chana, afu siku hizi unanitenga sana, ntajitoa jf kwahasira mimi! Hata ku dipu tu jamani?
Nilikuwa nakusubiri uje, eti naambiwa sijafanya booking..............
Missing wewe sana.
Ha ha ha ha unamaanisha nisijetua kwenye mikono ya kina WE NIANGUSAGE TU, SAMBI SAKO MWENYWE...........!!
Akuuuu mie sitaki mazali ya mwisho wa mwaka lol. Wengine wanyonya damu Lily Flowersweetlady zali hilo changamkia.
Halafu issue ya malazi mwambie @PakaJimmy asikuhesabu.Kumekucha JF HQ Arusha tuombe uzima tu.