Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Hah hah hah hah hah! Nimekuingiza mjini! Hujui kwamba ulikuwa unawasiliana na mimi!? Lol...
Mwaaaaaaa! Mi penda wewe chana! Filipo anavyopenda majungu akiona hii lazima achonge kudadadadeki! Mwaaaa again!
mtu chake tunaombeana uzima bana
Mungi taarifa za kiintelijesia zinaonyesha kuwa umehongwa na bahasha ya kaki imekuja kwako kutoka kwa Erickb52 ili ampate Kipipi ufanye kampeni
sweetlady mekumiss wewe halafu penda sana wewe (futa faster hapo)
Lily Flower mbona hata sioni kampeni zako aise nimpate Kipipi
........mkuu, lets bet on that.
hahahaha. Unajipa mahope? Nimeshawasliana naye kwa Skype, Cmu, Pm n.k. Na kesho ntakuwa Arusha kwa ajili ya kuonana naye
Mkuu naona unachanganya madesa. Mimi nitakuwa na wife wangu marejesho! Kwahiyo kama ni kushangaa nitakuwa namshangaa sweetlady atakavyotoswa na Mungi maana atakuwa na Lily Flower!
jombaa mchakato mzima si huo hapa umeainishwa na mtoa uzi.....unataka nini tena.......au huna pea....?