Kipipi sie huwa hatujichagulii wadada, bali tunaweka mitego wadada kama akina sweetlady unakuta tayari wameshajinasa kama 20 kwenye mtego mmoja mpaka tunashindwa kuchagua tunawaacha, halafu tunakuja kwenu kujichoteaSijambo kabisa mpenzi wangu.
Wajionaje na hali??
Hao kina Mungi nimewaona wenyewe wanashughulika na kujichagulia wadada tu tangu hiyo proposal itoke!
Ha ha ha ha! Akuuuuu! Spea tairi mpaka tairi ipate pancha ni leo? Nifikirie tena lol.labda uwe spea tairi wangu hahaaaaa
Umbea sunnah babu wewe !