Were These People Real Lovers? bila shaka, Lulu alikuwa kipenzi chake haswaa

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Ukifuatilia Tweet Page za Kanumba na Elizabeth Michael aka Lulu utaona kuwa walijaribu kutumia majina ya Mopao na Cindy labda kunogesha chat yao au katika kupoteza maboya wafuasi wao kwenye mtandao huo wa kijamii au labda kujifananisha na nguli ambaye Kanumba mwenyewe aliwahi kukiri kuwa anampenda sana Koffi Charles Olomide Mopao Sakonzy, huku Kanumba akimuita Lulu Cindy na Lulu akimuita Kanumba Mopao.

Kanumba alikuwa mpenzi mkubwa sana wa Bolingo na jina la Mopao ni jina la Koffi Olomide ambaye mashabiki wanamuita Mopao Mokonzi. Koffi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapaenzi na muimbaji wake wa kike anayejulikana kwa jina la Cindy Le Coeur ambaye kwa sasa ndiye mke wake kipenzi.

Koffi wakati akiaanza uhusiano na Cindy ilikuwa ni siri na iliandikwa sana kwenye vyombo vya habari lakini kila mara walipoulizwa walikana mpaka kwenye Birthday ya Cindy ndipo Koffi alipovunja ukimya na pale alipomzawadia gari aina ya Jaguar baba yake na Cindy (Gonga hapa kuisoma) na mpaka wa leo Cindy ambaye anakuja kwa kasi kwenye wanamuziki wa kike na amejizolea umaarufu kwa nyimbo zake za Koffi Chante Cindy ambapo amekuwa akizirudia nyimbo za taratibu za Koffi tangu enzi hizo.

Sasa baada ya kukueleza hayo soma Tweet za mwisho za Kanumba "Mopao" na Lulu "Cindy".







siamini kama hawa walikuwa lovers....







source... shafii dauda blog!
 
Zilipendwa rest in piece Mopao..!
Cindy life should go on...!
 
Sipendi habari za Kanumba wamuwache apumzikee
 
Zilipendwa rest in piece Mopao..!
Cindy life should go on...!

dah... walikuwa wamezama haswaa!

kuna jamaa alikuwa anaeleza kwamba sk alipewa sharti na wazee wa kazi asioe wala kuzaa..

yawezekana hii ni hatua iliyomwangusha sana...
 
ww jamaa inaelekea unafuatilia sana eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…