Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Apr 21, 2010 Thread starter #21 FirstLady1 said: kumbe sisi wanajamii ndio tunasababisha serikali yetu kuwa ovyo ovyo kivip Lebabu11 bado sijaipata point yako vizuri Click to expand... Jamii ndiyo inachagua rais na wabunge na miongoni mwa wabunge rais anamchagua waziri mkuu na mawaziri wengine ambao ndiyo serikali. Hivyo jamii ikichagua ovyoovyo serikali itakayochaguliwa kutokana na watu ovyoovyo nayo itakuwa ovyoovyo - logical!
FirstLady1 said: kumbe sisi wanajamii ndio tunasababisha serikali yetu kuwa ovyo ovyo kivip Lebabu11 bado sijaipata point yako vizuri Click to expand... Jamii ndiyo inachagua rais na wabunge na miongoni mwa wabunge rais anamchagua waziri mkuu na mawaziri wengine ambao ndiyo serikali. Hivyo jamii ikichagua ovyoovyo serikali itakayochaguliwa kutokana na watu ovyoovyo nayo itakuwa ovyoovyo - logical!
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Apr 21, 2010 #22 Jaji Werema akiomba msamaha kulingana na ahadi yake atafanya la maana sana! Ataeleweka zaidi kuliko kutufanya watz mbumbumbu!
Jaji Werema akiomba msamaha kulingana na ahadi yake atafanya la maana sana! Ataeleweka zaidi kuliko kutufanya watz mbumbumbu!