Werrason - Kibuisa Mpimpa (Operation Dragon) Full Album

Werrason - Kibuisa Mpimpa (Operation Dragon) Full Album

Kranium

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
130
Reaction score
376
BVZk3zOIYAATU5x.jpg
MI0001350081.jpg
Leo tujikumbushe kidogo album ya mwanamuziki wa Kikongo Noel Ngiama Makanda maarufu kwa jina la Werrason iliyotoka mwaka 2001. Mpaka leo hii mi nazisikiliza sana bolingo kiukweli hazichoshi na huwa zinarudisha kumbukumbu enzi zile tukiwa wadogo. Katika Album hii nyimbo ninazozipenda sana ni kibuisa mpimpa na fair play...ingawa hata nyingine ni nzuri pia.

NB; Nitakuletea tena album aliyofanya na Wenge Musica inayoitwa "A la Queue Leu-Leu" ya mwaka 2002, pia unaweza toa maoni nikuletee album ipi.
 
Attachments

Mkuu umetisha sana mzazi naomba pia kama unayo ya Alus Mabere na defao uweke vitu mkuu
 
Blandine Blandine. Dah ndg heavyduty mungu akupe maisha marefu. Hiyo album ya werason ilitingisha sana sana. Mzee nimemaliza form sıx nipo home nasubiri kuingia chuo dah we acha tu operation Dragon na kibuisa mpimpa ndizo nyimbo zilizogeuza namna ya kugani rap na kumpandisha Bill Clinton.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu cha Le vent du soir.... balaaa sana... hii kitu utamsikia hapo ferre gola akilalamika.... ngoja niingie chimbo nikuletee lyrics za huo wimbo
 
View attachment 570536 View attachment 570537 Leo tujikumbushe kidogo album ya mwanamuziki wa Kikongo Noel Ngiama Makanda maarufu kwa jina la Werrason iliyotoka mwaka 2001. Mpaka leo hii mi nazisikiliza sana bolingo kiukweli hazichoshi na huwa zinarudisha kumbukumbu enzi zile tukiwa wadogo. Katika Album hii nyimbo ninazozipenda sana ni kibuisa mpimpa na fair play...ingawa hata nyingine ni nzuri pia.

NB; Nitakuletea tena album aliyofanya na Wenge Musica inayoitwa "A la Queue Leu-Leu" ya mwaka 2002, pia unaweza toa maoni nikuletee album ipi.
Mkuu Bravo snaaa[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123]. Shukran kwa hii kitu.
Weka na nyimbo za Wenge BCBG km unazo. Hata kama album zote mkuu.
 
Blandine Blandine. Dah ndg heavyduty mungu akupe maisha marefu. Hiyo album ya werason ilitingisha sana sana. Mzee nimemaliza form sıx nipo home nasubiri kuingia chuo dah we acha tu operation Dragon na kibuisa mpimpa ndizo nyimbo zilizogeuza namna ya kugani rap na kumpandisha Bill Clinton.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ferre aliua sana kwenye blandine
Tala ndege nakoma zoba mpo na bolingo ya blandine mpemba
Angalia jinsi ninavyokuwa punguani kwa penzi la blandine mbemba
 
Back
Top Bottom