Wagonga nyundo wa la London jana usiku walishinda kombe la ligi ya Europe Conference League
Arsenal hawajawahi kushinda kombe lolote la Ulaya, West ham wameiheshimisha London wakiungana na Chelsea
Hili kombe ni special sana kwa meneja David Moyes kwani toka kustaafu kwa Fergie hakuna kocha muingereza ameshinda taji kubwa ila sasa David Moyes kavunja mwiko.
Respect sana mzee Moyes uliitengeneza Everton timu nzuri ila hukupata taji umekuja kuchukua ukiwa London
Arsenal waajiri makocha wenye akili sio kile kivulana acheta hawatashinda taji la Ulaya hadi wanazeeka na kufa