Western influence

Kwanini unatuletea huu uchafu hapa.
 
sasa hivi dunia itapotelea kwenye kina cha nungwi cha kimaadili eeeh mungu tunusuru sisi wapumbavu sisi.
 
Damn!
Yarabi Toba!

Yaani mm nina watoto wa kiume nawaza yaani siku wakifanikiwa kuwa wababa na familia zao bila kukutana na huu ufirauni ntashukuru kwa mola yaani usiombe ukutane na mtu anayekuhusu aliyekumbwa na huu ugonjwa lol
 
Sio ya kuombea aisee
Tuliwahi kuwa naye kwenye familia..lol!
Yaani sie ndio tuliojisikia aibu kuliko yeye!
 
Yallah......God forbid, and please spare my son.
 
Yaani mm nina watoto wa kiume nawaza yaani siku wakifanikiwa kuwa wababa na familia zao bila kukutana na huu ufirauni ntashukuru kwa mola yaani usiombe ukutane na mtu anayekuhusu aliyekumbwa na huu ugonjwa lol

Waombee kwa Mungu awape hekima ya kujua jema na baya na kuchagua lililo jema
 
Eeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! maulana tuepushie balaa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…