WestGATE -Kenya na UJINGA WETU WAAFRICA..!

WestGATE -Kenya na UJINGA WETU WAAFRICA..!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
910
1: Wahandisi wa Kiafrica tumebobea kwenye kukopi na kupest Ubunifu wa majengo.. Imagine jengo kubwa namna hii la WestGate Shopping mall..

View attachment 113611
unaweza kuamini kumbe lina mlango mmoja tu...?!!

View attachment 113612

tunaweza kulaumu kwanini machizi/fyatu hawa wamefanya unyama na ukatili namna hii lakini pia ni sauti ya mabadiliko, haraka tubadilike, habari ya kwamba jengo liwe na mlango mmoja ikwishe haraka. mfano MlimaniCity- DSM, almost kuna milango miwili tu imagine ambayo ni sawa na mmoja kwa sababu milango yote inatazama mashariki.
View attachment 113613
sasa hawa ambao akili za bongo zao zilisha fyatuka wakidhibiti upande mmoja basi kisa cha ajabu kitatokea.. embu tazama pia qualiy-Centre
View attachment 113614

Few main entrance na hapana matoleo ya dharula. tuache ubabaishaji, sasa tubadilike, machizi wapo, mafyatu wapo majengo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu kama hizi shopping mall, Nyumba za ibaada, Madiskoni bin manywajini na penginepo yaongezwe milango ya kuingilia na kutokea, yaongezwe escape rout na immergence doors as many above the design standard tuache elimu za kukariri hali mbaya aisee. tuache maujingajinga ya siasataka eti mtu anang'ang'ania aoteshwe urais, unawaza hivi huyu ana akili zile za kawaida kama sisi au nae " walewale".. kuna vijitujitu pembezoni mwa mipaka ya nchi yetu tumeshavichokonoa, wengi hatuko salama sana kiivyo. lazima tuwe makini..

lakini si majengo ya mikusanyiko ya watu wengi tu bali pia nyumba zetu, utakuta tumekariri elimu ya kujenga nyumba kubwa nzuri lakini kamlango kamoja tu ukiachilia mbali kale ka jikoni ambako ni kama ka kulazimishia tu. so wale wenye mapepo wakija usiku wakadondosha fatuma kwenye kamlango hako ka mbele basi mlango wa nyuma wa mwili wako unaanza kutoa vitu laini tumboni.....(..) Jenga nyumba, weka as many doors as you can tatizo iko wapi?!!.

2. lakini pili hebu tujiulize, nani kampatia CHIZI huyu panga??!!??. lazima awe mwendawazimu mkubwa sana na kasoro haipo.
View attachment 113619
kwamba yule aliyempatia/kumuazima/kumuuzia chizi huyu "panga" yeye ndiye atakuwa wa kwanza kujinafsi kwenye kochi lake na kuchekelea product ya kazi ya 'panga" zake. huyu lazima awe na passport yenye chapa moja na shetani, Imagin hawa raia tu, armless, gunless, innocent citizen, non politician, children of no sound unawaua then what for?!kwani wao ndio wapiganaji, kwani wao ndio maamiri jeshi waliosogeza majishi yao kwenu? kwani ikulu hampajui? jeshini hampajui? ..wauaji hawa hata sio terrorist nasema ni machizi na vichaa na wendawazimu. kuwaita terrorist ni kuwapandisha chat ambayo hawanayo wajinga hawa. kitu ndogo ukitaka kugundua kwamba ni machizi, wanadai shambulio hilo ni hasira juu ya wakenya kwa kujiingiza kwenye vita dhidi ya ugaidi huko somalia, ok sasa hao waliowaua humo westgate ni WAKENYA? mbona wamewateketeza wahindi wengi
View attachment 113622View attachment 113623View attachment 113630

kwani hii ndo target yao kwa wakenya?!!.. i say hawa ni wendawazimu, so kuna mwenye kosa hapa nduguzanguni waafrika, tuache ujinga kabisa kwa hili, Yupo mtu/lipo taifa nyuma ya pazia ambalo hufadhili silaha hizi hatari kwa machizi hawa. lazima inteligencia za nchi zetu tuwasake hawa ambao huwasupport mazimwi-watu hawa, tukiwabaini mchana kweupe tunawatangaza na kuvunjilia mbali mahusiano nao na ikiwezekana tunawafanyizia.. wacha niondoke zangu...!!
 
Back
Top Bottom