Wet Dream....Mfululizo siku 15

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Habari za saa hizi ndugu zangu.

Nina miaka 22, ila nimekuwa na tatizo la ndoto nyevu siku 15 mfululizo sasa, nalala siwazi ngono wala mwanamke na nina kawaida ya kulala late nights nikiwa nimechoka sana still naota ndoto nyevu...!

Je tatizo ni nini?

Nifanye nini ili nisiwe naota ndoto nyevu?

Je kuna umri ambao mwanaume ndoto nyevu zinakuwa hazimpati?

Asanteni
 
Popobawa huwa anakutembelea, uwe unavuta sigara kubwa kabla ya kulala dogo.
 
Kuna jamaa yangu alikuwa kama wewe sasa hivi aliniambia ameshapona ngoja nikamuulize alitumia nini hiyo hali ikamtoka
 
Ushaoa binti wa jini makata.... jiandae kupelekwa kuzimu ukawasalimie wazazi wake.
[emoji48][emoji83][emoji49][emoji89][emoji451][emoji317][emoji33]
 
kwa umri wako sishangai... fikisha hata miaka 25 kwanza zikiendelea ndo ushangae hapo bado upo kwenye balehe mdogo wangu..

nakumbuka kipindi nina umri huo nilikuwa naweza kushinda siku nzima MKUYENGE umesimama bila sababu ya msingi
 
Unapotosha umma!!

"SIWAZI MWANAMKE"
"SIWAZI NGONO"

ukitaka msaada kuwa muwazi tafadhali
 
KWANZA BADILISHA HIYO PICHA Y AKO YA JF KISHA UTAONA MABADILIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…