Weusi katikati ya mapaja

Weusi katikati ya mapaja

Joined
Oct 25, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Habari jamani tatizo langu ni kuwa na weusi katikati ya mapaja yangu msaada wa hilo tafadhalini
 
RØMANCE LIFË;8168348 said:
Habari jamani tatizo langu ni kuwa na weusi katikati ya mapaja yangu msaada wa hilo tafadhalini
Dx:
kama ni mdada inaonesha ukitembea kuna kitu matharani nguo zinakuchubua kwenye maeneo karibu na perineum

Rx:
Kula vyakula vyenye vitamin E au tafuta mafuta yenye Vitamin E e.g carolight has vitamin E (ila usitumi)
Vitamin E inasaidia regeneration of new skin cells and replacing them with old dead cells
kama unavyojua skin cells ni labile cells zina regenerate forever hivo zipe support
Kisha lete feedback umetumia ointment gani kwa manufaa ya jf

Rekebisha dressing style ya pants zako
 
Back
Top Bottom