msambinungwa Member Joined Jun 28, 2014 Posts 97 Reaction score 13 Oct 27, 2014 #1 jamani ndugu zangu ilitatizo linanitesa kwamuda mrefu sinaamani,mimi nimweupe lakini kwapa nasehemu ... ni peusi lakini nipasafi kwani nafanyausafi kilamara.nisaidieni dawa yauhakika nimeshajalibu ndimu,limao lakini wapi. nisaidieni.
jamani ndugu zangu ilitatizo linanitesa kwamuda mrefu sinaamani,mimi nimweupe lakini kwapa nasehemu ... ni peusi lakini nipasafi kwani nafanyausafi kilamara.nisaidieni dawa yauhakika nimeshajalibu ndimu,limao lakini wapi. nisaidieni.
mutant gene JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 876 Reaction score 326 Oct 27, 2014 #2 mkorogo umedunda kwapani na kwa bibi???
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 Oct 27, 2014 #3 Usinyoe kwa kutumia wembe. Nyoa kwapa kwa kutumia magic...
msambinungwa Member Joined Jun 28, 2014 Posts 97 Reaction score 13 Oct 28, 2014 Thread starter #4 magic inapatikana wap?naninn?
msambinungwa Member Joined Jun 28, 2014 Posts 97 Reaction score 13 Oct 28, 2014 Thread starter #5 mutant gene said: mkorogo umedunda kwapani na kwa bibi??? Click to expand... situmii mkorogo ninature.
mutant gene said: mkorogo umedunda kwapani na kwa bibi??? Click to expand... situmii mkorogo ninature.