Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
wameulizwa mkuu..haikuwa ajenda yao kuzungumzia hilo swalaHawa weusi na wenyewe ni mapoyoyo!! Wao si wamechanwa kwenye mistari na wao si wangemchana kwenye mashairi... ni aibu kwa wakongwe kutafta interview kujazana studio kumjibu dogo aliwechana kwenye mashairi
Kwani hyo ndo interview ya kwanza? Washaenda hadi Efm kuongelea hyo issue... Nikki anampoteza kaka yake Joh arudie enzi zake akiwa anajiita Rapture sasa hivi anapekekeshwa na Fursawameulizwa mkuu..haikuwa ajenda yao kuzungumzia hilo swala
hii vepeeeJoh Makini, Nikki wa pili na G.nako wakihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wamezungumzia suala la kubebwa alilodai Young Killer
Joh Makini yeye hakutaka kulizungumzia kabisa na kudai ni upuuzi
G Nako akijibu amedai kuwa alisema hivyo ili aonekane amezungumza na watu wamzungumzie... na Nikki wa pili akadai kuwa Joh Makini anabebwa kwa sababu vitu vizuri mfano fedha...huwa vinabebwa