Watu Vijijini wapo bize sana Mwaka mzima wanalisha mbuzi, kondoo, ng'ombe, kuku, bata, njiwa majani na maji na wewe upo mjini Mwaka mzima unalisha mademu chips kuku,
Mishikaki, pizza na bugger halafu mwisho wa Mwaka unarudi zako bush unataka kuchinja mbuzi.
Hapana aiseeee hii haiwezi kuwa sawa, kila mmoja achinje kile alichokuwa analisha siku zote.```
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]