Wewe Baba mwenye gari nyeusi umenipita hapa stendi ya posta Mwanza, jiheshimu sana

hayakuhusu kesho napita hapo mida ile ile unipe yako naona bado una marinda
 
Kama kichwa yako iko full charge ukitathimi hapa nani mwenye kiherehere kama sio wewe?
Wacha umbea bob
wewe ndio unakiherehere maana mimi sijakutaja humu ila umeletwa na kiherehere chako
 
Kwahiyo wewe ndiyo unafaa kuharibu mabinti wa sec au sio, afu punguza wivu mjomba kakunyima namba kwasababu hauna gari.
 
Ndio nimefika hapa nyumbani we mama, sasa kama wemwenyewe uliniacha kwanini nisitongoze kibinti kabichi..??
Wivu tu umekujaa, kale kabinti sio kakusoma na hakakua na uniform..[emoji3525]
Alafu namba yangu unayo, kwanini haukunipigia ili unikanye kuliko kuja kunianika huku..??
Na kwaki haujui kwamba gari bovu linavutwa na gari zima..!!
Ebu punguza wivu mama, ukichwa achika ama kunywa maji mengi ili moyo uelee...[emoji23][emoji23]
 
hamna ilikua sio hiyo gari halafu mimi sio mama
 
Wewe kijana ndio umeamua ufungue uzi huku jf

Sasa namba nimeshachukua, wewe baki na udomo zege wako
 
Kuna mada 3 kwenye hii story
moja
Babu anatongoza bint
Mbili
Malezi mabovu ya wazazi
Tatu
Wanaume wasiharibiane mitongozo sababu ya mafanikio(gari)

sasa sijui nichangie ipi....
 
Tatizo ulivaa kadet ya kijani
 
Kwa nini avute bange? Mimi ni Muislam safi siwezi kuvuta bange...lakini pia nitoe rai kuwa pusha anipatie ndumu nipige pafu moja tu.
 
Acha ujinga, wazee wasipofanya hivyo, Mzee Mengi angempataje Klyin, Pius Ng'wandu angeoaje?
Kama ni binti zaidi ya miaka 18, na sio mwanafunzi wa chuo, hakuna kosa hapo.
 
Mzee kakukumbusha uache uboya, tupia nyavu, uache dono zege!!
 
Ungechukua na picha ungeeleweka vizuri
 
Jamaa yangu unachekesha kweli ulivyoandika japo kuna funzo ndani yake... hatahivyo sijaelewa baadhi ya hoja

1.Mtoto wa shule (mwanafunzi wa sekondari- (ulimtambuaje ni mwanafunzi wakati amevaa kisista duu)

2.Rai hapo kwenye aya ya tatu kutoka chini- (mbona kama inakwenda vice versa na maudhui ya mada yako?)

3.Kama ni hivyo je huoni wewe ndo wa kunasihiwa maana inaonesha unamwonea gere babu kakuwahi na ndipo ukachukua hatua ya kuandika (rejea sentensi zako za mwisho mwisho)

4.Huoni pia kama umekosea sana kumwacha binti aondoke bila hata ya kumpa maneno mawilimatatu ya kumjenga ili akipigiwa simu na babu basi simu hiyo isilete madhara yoyote baadaye?

Yote kwa yote... maisha yanaendelea... hatufokeani tunabadilishana mazingira tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…