Wewe Baba mwenye gari nyeusi umenipita hapa stendi ya posta Mwanza, jiheshimu sana

Umejivalia kipori pori nani akusimamishe na hilo shumizi ulilokuwa umevaa.

Acha wivu..
 
Mmmh,..kwel mtu yuko radhi kutoa laki ili apewe umbea wa buku
 
Na wewe ni kamishna mstaafu, naona umeanza kutoa ushauri kwa jamii....safi sana ngosha.
 
Kama vile nakuona unavyoumia kutopewa namba
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: BAK
Ya NGOSWE muachie NGOSWE. Pambana na hali yako.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Hayo ndo matokeo ya kuruka stage.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Yale yaleee tunayosemaga vijana gari ndio kisu cha kuwachinjia warembo.
Wacha vibabu wafaidi bwana watoto wateke.

Ata mie nikifika 60 nitakuwa nagegeda 20 mpaka 25
 
Yale yaleee tunayosemaga vijana gari ndio kisu cha kuwachinjia warembo.
Wacha vibabu wafaidi bwana watoto wateke.

Ata mie nikifika 60 nitakuwa nagegeda 20 mpaka 25
huo ni uharibifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…