Wewe Baba mwenye gari nyeusi umenipita hapa stendi ya posta Mwanza, jiheshimu sana

Maini huwa hayazeeki

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha
Kijana umezidiwa lete.
Hao mabinti wataliwa tu na wazee kwa vile msingi anayatafuta pesa zilizo kwa hivyo vizee.
Mzee akipata, raundi moja tu tuko hai bin taabani.
Pochi binti anabeba elfu hamsini hadi laki.

Wewe utapiga rigwaride usiku kucha, na asubuhi unanipa huku kero haitoshi hata supu.

Miye vijana wanawake wamewazidi akili.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ we jamaa unafurahisha sana. Mwanzoni wakati nasoma kisa chako nilijua unaripoti Kama Polisi Jamii.!

Kumbe unaripoti kwa kuwa huyo binti amekunyima namba ya simu wewe akampa huyo Mzee??

Ila bora amekunyima hiyo namba ya simu manake amekuokoa na miaka 30 ya jela.

Wewe bado ni nguvu kazi ya Taifa, huyo Mzee mwache akamalizie pension yake akiwa jela na akafie huko manake Miaka 30 inamwita + Umri wake wa 60.
 
Kuna zee lingine la Miaka 60 linazuia Kidoti asiolewe
 
Wanaume hawazeeki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeshindwa kutongoza unaona wivu kwa wengine hakuna mzee wala vibinti siku hizi vibinti ndio vinapenda wazee
 
Ni Wivu tu
 
Kama ni mabinti wa sekondari kwa kweli amekosea huyo mzee, ajirekebishe
 
Hawa watoto wa siku hizi wanawashwa sana nasema wacha waliwe ila na walaji wajiandae wakiwapa mimba miaka 30 jela na kazi ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…