Wewe Baba mwenye gari nyeusi umenipita hapa stendi ya posta Mwanza, jiheshimu sana

Kijana acha ujinga. Acha babu ale mbunye. Naww tafuta pesa k zitakufata hadi utazikimbia.

Hujui mwana wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.
 
Ni wivu tu, mwenzio Ana ulimbo wa kuwanasia,wewe huna ulimbo,katafute ulimbo Kama huo wa gari utawanasa tu,Sasa wewe unatembea kwa miguu unataka uwanase?
Mwanamke hajaumbiwa shida mkuu.
 
Mleta uzi kama ni kweli upo sahihi
Ila sijausoma wote
Ila dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha ubaguzi wewe unataka hao mabinti nani awake pesa za pedi na mahitaji mengine au sisi wazee tukaoshe marungu yetu wap
Kwakweli dunia imeisha.
 
Kijana acha ujinga. Acha babu ale mbunye. Naww tafuta pesa k zitakufata hadi utazikimbia.

Hujui mwana wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.
mimi sio mjinga mimi nakemea maovu
 
Pia natoa rai wanaume wenzangu ukimuona mwanaume mwenzako anamfatilia labda binti umuheshimu sio na wewe unajichanganya kumuharibia mwenzako kisa tu eti una gari inakua haipendezi kwakweli!




Kumbe unamumind mzee kwasababu na Wewe ulikuwa kwenye mawindo,sasa kubali tu kuwa mzee amekuzidi kete.Waswahili walisema "Mwenye nguvu mpishe".
 
Hauna picha zao? Nataka ushahidi nafikiri huyo atakuwa mjomba wangu ila naomba picha yake kwanza kabla sijakwenda kwake kumtukana.
 
Nilitaka kumsaidia mambo ya shule. Usinifikirie vibaya.
 
"" Pia natoa rai wanaume wenzangu "" nilipofika hapa ilibidi nipose kidogo,
No offence ila uandishi wako nilijua ni KE
 
Halafu bahati mbaya humu jf hayupo
 
Hii tabia ya kuwasokota vitoto siyo poa, viitoto venyewe vinaharibika vikisha lala na wazee.
 
Huna lolote nyambafu wewe zaidi ya kuwaonea gere kwa kuona kuwa wanaenda Kula utamu,labda nikushauri, siku nyingine ukiwaona tena,umuwahi wewe umpe namba ili zamu ya kuliwa Sasa iwe yako.
 
Vugwe msukuma wewe tafuta pesa utaitwa bebi mpaka kaburini. Unaonekana uchawi tu ndio unakusumbua. Ulitaka hao mababa uwape wewe namba zako!? Ndo mana mnabaki mangosha tuu mnanuka ng’ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…