Wewe dada mwana JF mwenzetu hakika nimekupenda sana

Wewe dada mwana JF mwenzetu hakika nimekupenda sana

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Leo asubuhi katika pilika pilika za upandaji daladala Segerea stand, nikiwa ndani ya daladala kushoto kwangu alikuwepo dada mzuri kweli mweupe, aliyekuwa amevalia kitenge safi sana very smart, na pochi ya nyekundu plus his very beautiful red shoes, seriously am infatuated, kumbe humu yapo mambo mazuri mno, I cant explain more!
(his id hided)

I LOVE YOU TOO, THE WAY I CANT EXPLAIN.

72273211_149934972987126_8918038379375886336_n.jpg
 
Una uhakika yupo humu?domo zege utamjua tuu yaani umeshindwa kumalizana nae ukiwa live unakuja kuleta maombi yako humu
 
Una uhakika yupo humu?domo zege utamjua tuu yaani umeshindwa kumalizana nae ukiwa live unakuja kuleta maombi yako humu
Yupo humu by 100% hata id yake niliiona ila sio vyema kuianika ni mashuhuri sana humu.
 
Back
Top Bottom