Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Acha bangi jumlisha ugoro na kuzimua na gongo ndg huu mchanganyiko huwa ni UKICHAA KAMILI.
hakika mdomo uli freeze, mtoto mkali kweli kweli.Una uhakika yupo humu?domo zege utamjua tuu yaani umeshindwa kumalizana nae ukiwa live unakuja kuleta maombi yako humu
Yupo humu by 100% hata id yake niliiona ila sio vyema kuianika ni mashuhuri sana humu.Una uhakika yupo humu?domo zege utamjua tuu yaani umeshindwa kumalizana nae ukiwa live unakuja kuleta maombi yako humu
Hahha nimecheka kwa sauti