Mfano binafsi sipendi sanaa mdada anayeniita mimi maneno kama "wangu"
Utaskia ahsante "wangu" au "My" [emoji35]
Tabia nyingine ni ile ya wadada unatongozwa na kijana wa watu unanza ku screenshot convo unawaonyesha marafiki zako, yaani hao unaowaonyesha hawatakusaidia kwa lolote pindi mambo yataenda kombo.[emoji35] [emoji35] [emoji35]