Elections 2010 Wewe je?

Elections 2010 Wewe je?

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
930
Reaction score
220
Habari vipi wandugu? Ndugu zangu wana JF naomba kuwaulizeni kuwa wewe umelisaidia vipi taifa lako? Mkoa wako? Wilaya/jimbo lako? Tarafa yako? Kata yako? Mtaa/kijiji chako? Au mnaishia tu kuandika maoni, ujumbe na hoja mbalimbali humu ndani ya JF?
Watanzania tumekuwa na tabia ya kulalamika lalamika tu bila kufisha hoja zetu mahala husika. Tunategemea nani aje kutusaidia katika haya matatizo?
EPA, RICHMOND, DOWANS, KAGODA, UDA nk nani mkombozi wa haya matatizo kama siyo wewe na mimi? Tuache utumwa na manung'uniko yasiyokuwa na maana!
 
Back
Top Bottom