Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako

Ninampongeza, sina tena Matatizo nae na nayaheshimu sana Maamuzi ya wana CCM wote waliompitisha. Ninamtakia Kila la Kheri na atashinda tu.
Kumbe bandiko lako lilikuwa porojo tu?, aisee ungejua ambavyo sipendi mtu kama wewe asiyeweza kusimamia kile anachokiamini!.
 
Mbona ninaziona sifa zote za Bernard Kamilius Membe?
 

Hizo sababu umeandika hapo ndo Sifa za kiongozi wa CCM. Kwa hiyo hauna point ndugu!
 
Kumbe bandiko lako lilikuwa porojo tu?, aisee ungejua ambavyo sipendi mtu kama wewe asiyeweza kusimamia kile anachokiamini!.

Kwahiyo ulitaka nipingane na nisiyaheshimu Maamuzi ya Wapiga Kura 129 na hizo 78.65% alizozipata Mwinyi na nikufurahishe Idiot Mmoja Wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…