Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Panapokuwa patamu ni pale unapopima unasubiri majibu alafu lab technician anakuita na kukwambia samahani naomba nikupime tena..... ujue hapo tayari parapanda imeanza ku beep.

Hapo hata ukikataa kupima tena lazima uondoke na stress
 
Nipo upande wa huyo kaka kwa jambo moja tu...kukataa kupima

cutelove kupima sio jambo dogo eti,bora ingekuwa kupima malaria basi
Mi namshangaa mbona huwa tunatoa buku 7 tu kupata clear ripoti? Issue ndogo hizo
 
Vipi kama ungeliwa kiboga mama ungeleta mrejesho hapa?
Hivi bado kuna mtu anatuma nauli kwa demu ambae hata hamjawahi kuonana!!? Kweli huyo jamaa ni bwege tu ndo maana ukamuacha kirahisi sana.
Si ndio Ali tuma nauli wa onane au
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ivi ni kweli ni mwanaume au mwanamke mwenzako.

Nauli kutoka mwanza, wakati mimi nkituma buku jero ya ktoka apo temeke, ukikataa nakubaka, apo hamna mwanaume
Utambaka restaurant?
 
cutelove, NI HIVI NYINYI WADADA WENGI WA MIKOANI SIO WAELEWA NI WASUMBUFU BALAA. UNAKUTA UMEINGIA NA MTU HADI NDANI LODGE HLF ANAGOMA KUTOM.BWA

HUYU MAZAFANTA ANATOKA UMBALI WOTE HUO KUJA DAR KUSHOW OFF?

NAJUA HAYO YA KUPIMA NI UONGO MTUPU SIO KWELI. KIASILI WASUMBUF TU. [emoji848][emoji848][emoji848]NYAMBAFF KABISA.
 
Wanawake wa leo hakuna mwenye ujasiri wa kukataa sex? Could you please explain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…