Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Sema kama umetumiwa nauli kutoka mwanza na ukaja dsm kwa mtu ambae humjui na kuonana nae bas nimeenza kuamin wasukuma waaminifu sana sema hkna namna kama alizngua kupima bas wew rud mwanza

Eti wasukuma waaaminifu sanaa [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
ila wewe msukuma mayo weweee utumie nauli ya mtu mza to dsm et muonane tuu??? mnaonana nn na mshaonana watsap?? ningekuwa n mm usingechomoka!
 
Niamini mimi kwenye dunia hii hii wapo wanaume ambao wanaweza kuwagharamikia wanawake wasiowajua na bado wasiwaombe mizigo amini nakuambia mimi nimeshakutana na hao malaika live kabisa

Halafu ulipotelea wapi hizi siku mbili tatu? Au umemkaribisha mwanafamilia mpya duniani ndiyo upo unamlea?
 
Listen, the girl wanted a longtime relationship but the guy wanted only a one night stand, and why on earth do most guys want only one night stands? Is it because men have nothing to lose?
Hakuna mkate mgum mbele ya chai Marianah, ukiandaa mazingira ya kuliwa utaliwa tu kwahyo muwe mnajua kukwepa haya mazingira
 
Wapo wanaume wa hivyo bwana, walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo
Tangu dunia inaanza hakuwahi kuwepo mwanaume wa ivo...mwenyew nawaza sipati majibu, Yaani utadhani kaka yake ndo kamtumia nauli akamwangalizie nyumba
 
Huyu alishamwambia kabisa lengo lake kabla hajakwenda. Hata yeye alilijua hilo ndio maana alikuwa tayari ila tu wapime afya kwanza.

Mwanaume anayekugharamikia kama rafiki u ni tofauti na mlotongozana na mna mahusiano. Na wengi ni vile tu huwa hawajapata tu hiyoupportunity[emoji23][emoji23]

Nilipotea sikuwa na bando jamani, ukionea nimepotea unanirushia hata kajero tu, undugu ni kufaana jamani[emoji1299]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…