Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu eti anashangaa, labda alikwenda wakasome Biblia.
 
Ndio sifa eti kwao nascreen short zitawekwa

Bado siiamini hili jambo kutendeka nadhani mtoa hoja ameamua kuchangamsha Genge

Kama nikweli 100% basi Mleta hoja 100% hayupo sawa upstairs. Huwezi Simlia hadhali Baadhi ya mambo hususani affairs za ndani. Personal issues kuzimwaga uwanjani ni tatizo kubwa yaani

1. kukosa kujiheshimu yeye mwenyewe

2. Kukosa kumheshimu mwenza/mshirika wake

3. Kutokujitambuwa na kutambuwa thamani ya mahusiano

Nakama nikweli basi tusishangae ipo siku ataleta simulizi endapo ataolewa za afanyacho namumwe chumbani.

It can't be...bado naamini ni hadithi ya kutunga tu.
 
adolay,
Unajua sio lazima awe yeye humu watu hamnazo kabisa unakuta mtu kwa majigambo dah hujiona hutakwa hujiona yeye ndio yeye na hutoa siri zote za watu wa humu hadi napatagwa na butwaaa!
Kweli upstairs kumeoza.
 
Siku nyingine muwe mnaleta kahawa ili tuchangie mda mrefu
 
Unajua sio lazima awe yeye humu watu hamnazo kabisa unakuta mtu kwa majigambo dah hujiona hutakwa hujiona yeye ndio yeye na hutoa siri zote za watu wa humu hadi napatagwa na butwaaa!
Kweli upstairs kumeoza.

Kunawakati ule utafiti wa katika kila watanzania 4 basi watatu vichaa naumini

Watu kujifunua au kufunua wengine nadhani nikichaa tu.

Sio Mantiki watu
-watongozane kwa siri
-wakubariane kwa siri
-wakutane kwa siri
Halafu siku, mmoja anaibuka mitandaooni au mtaani, au mikutanoni au maharusini anasimulia yale waliyotenda sirini.....nikichaa

Mtiririko wote hamkushirikisha Jamii mkafanya sirini..... yanapowashinda please yaacheni hukohuko sirini.

Kuyaleta balazani
1. Kujidhalilisha, unajiaanika na kujitoa utu wako. Hutaaminika tena kwenye jamii

2. Unadhalilisha waliokuzunguuka

3. Unamdhalilisha mwenzako bila sababu

Hakuna tija zaidi ya fedheha kwa wote. Unaweza Dhani unamkomesha mwenzako ke/me kumbe wapi .... wote wataanza kukudharau wewe kisha watamdharau mwenzako.

Ya sirini hubakia sirini na endapo kila mmoja akaamua kutapika hapa situtabakia vinywa wazi.
Shemales
Gays
Sales
Thieves
Etc
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Ila huyo dada siyo kwamba alikuwa hataki basi tu huyo kaka naye kazingua angetakiwa awe mpole kwanza maana mambo mazuri hayataki haraka kabisa![emoji23][emoji23]

Halafu hiyo huduma ya kutumiana hela kupitia JF mbona siijui shosti?[emoji41][@Atoto,
 
cutelove, p

Io kitu tunaita goli dakika ya tisini..me ukiniona ata suala la kupima utasahau..ukianza kurudi pitia dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…