Wewe kama Shabiki ni Mchezaji yupi unatamani kumuona akisajiliwa na timu yako kuelekea msimu mpya wa 2024\2025?

Wewe kama Shabiki ni Mchezaji yupi unatamani kumuona akisajiliwa na timu yako kuelekea msimu mpya wa 2024\2025?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Msimu unapo malizika basi timu zote ujipa tathimini ya msimu mzima ulioisha na kutazama wafanye nini katika msimu mpya.

Aidha katika eneno muhimu zaidi ni la usajili wa Wachezaji yupi asajiliwe nani aondoke kwenye timu hiyo,na sasa muda wake ndiyo huu

Wewe kama shabiki wat imu yako weka orodha hapo ya wachezaji ambao unatamani wasajiliwe na uongozi wa timu yako
 
Back
Top Bottom