Kawaida hizo ni sherehe za watu duni kiakili, kimwili na kiimani, wanao patikana huku pwani.
wewe Una amka zako jumatatu mapema kukimbilia kazini, biasharani wenzio, tangu juzi wamefunga turubai, na maspika, na nyimbo za o za hovo na kelel enyingi.Wako kinamama watu wazima wakijifunua huku na kule bila kujali uwepo wa watoto, viko vizee vile vya ccm, choka mbaya ndio wageni wa heshima.
Lazima awepo mwanamuziki mwenye misamiati mingi ya kiswahili swahili yenye mafumbo na matusi ya kisasa.
Na ili shughuli inoge lazima mashoga wawepo.