Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Rudi kwenu bara mburula wewe,usitupangie maisha nakutuita washambaWewe kama una sherehe yako peleka kijijini kwenu huko siyo unazuia barabara kwa kuweka miturubai kisa una sherehe si ungenunua eneo kubwa ili ujitosheleze hii tabia imekithiri kwenye hili jiji la maji chumvi
Inakera sanaKawaida hizo ni sherehe za watu duni kiakili, kimwili na kiimani, wanao patikana huku pwani.
wewe Una amka zako jumatatu mapema kukimbilia kazini, biasharani wenzio, tangu juzi wamefunga turubai, na maspika, na nyimbo za o za hovo na kelel enyingi.Wako kinamama watu wazima wakijifunua huku na kule bila kujali uwepo wa watoto, viko vizee vile vya ccm, choka mbaya ndio wageni wa heshima.
Lazima awepo mwanamuziki mwenye misamiati mingi ya kiswahili swahili yenye mafumbo na matusi ya kisasa.
Na ili shughuli inoge lazima mashoga wawepo.
SawaAcha wivu mkuu
Huku vyumba bei rahisiHama huko Mwanayamala, Magomeni, Tandale...
Imepanda kidogoNkulu wa nchito mkuu sukari imepanda
Waswahili watakuua na preshaImepanda kidogo
π π πWaswahili watakuua na presha
KOBAZI wasome.Wewe kama una sherehe yako peleka kijijini kwenu huko siyo unazuia barabara kwa kuweka miturubai kisa una sherehe si ungenunua eneo kubwa ili ujitosheleze hii tabia imekithiri kwenye hili jiji la maji chumvi
Ni wapi huko nije π€£Kawaida hizo ni sherehe za watu duni kiakili, kimwili na kiimani, wanao patikana huku pwani.
wewe Una amka zako jumatatu mapema kukimbilia kazini, biasharani wenzio, tangu juzi wamefunga turubai, na maspika, na nyimbo za o za hovo na kelel enyingi.Wako kinamama watu wazima wakijifunua huku na kule bila kujali uwepo wa watoto, viko vizee vile vya ccm, choka mbaya ndio wageni wa heshima.
Lazima awepo mwanamuziki mwenye misamiati mingi ya kiswahili swahili yenye mafumbo na matusi ya kisasa.
Na ili shughuli inoge lazima mashoga wawepo.
Jambo zuri umaskini unawateketeza vizuri mnoInakera sana